Posted on: July 25th, 2022
Maonesho ya nane nane, 2022 kanda ya Mashariki yanajumuisha Mikoa ya Dar-es-Salaam, Pwani Tanga na Morogoro ambayo hufanyika kila Mwaka kuanzia Agosti 1-8 katika Viwanja vya Mwl. ...
Posted on: August 5th, 2022
Jumla ya Makarani 1,020 wapatiwa Mafunzo ya siku 19 ya Sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika mnamo Agosti 23, 2022 baada ya kufaulu usaili uliofanyika katika kata zao.
Mafunzo ha...
Posted on: July 14th, 2022
Halmshauri ya Wilaya ya Muheza kupitia Mapato yake ya ndani imenunua pikipiki saba (7) zenye thamani ya shilingi Milioni kumi na saba na laki tano (17,500,000) na kuzikabidhi kwa maafisa kilimo wa kat...