Idara ya Ardhi na Maliasili ni miongoni mwa Idara na Vitengo muhimu vinavyounda Halmashauri ya Wilaya ya Muheza. Idara hii inaongozwa na Mkuu wa Idara ya Ardhi na Maliasili, ambaye pia hufahamika kwa cheo cha Afisa Ardhi na Maliasili Wilaya. Idara hii imegawanyika katika sehemu kuu mbili kiutawala, Sehemu ya Ardhi na Sehemu ya Maliasili.
Sehemu ya Ardhi nayo imegawanyika katika sehemu ndogo zipatazo nne, ambazo ni hizi zifuatazo;
Sehemu ya Maliasili nayo pia imegawanyika katika sehemu ndogo zipatazo nne, ambazo ni hizi zifuatazo;
1.2 MAJUKUMU YA IDARA YA ARDHI NA MALIASILI
Idara ya Ardhi na Maliasili inatekeleza majukumu makubwa yafuatayo katika shughuli zake za kila siku;
1.3 HALI YA WATUMISHI WA IDARA YA ARDHI NA MALIASILI
Idara ya Ardhi na Maliasili ina jumla ya watumishi nane (8) kwa sasa, Sehemu ya Ardhi ina jumla ya watumishi watano (5) na Sehemu ya Maliasili ina jumla ya watumishi watatu (3).
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.