MAJUKUMU YA IDARA YA KILIMO, UMWAGILIAJI NA USHIRIKA
1.Kutoa ushauri wa kilimo bora
2.Kusimamia shughuli za kilimo
3.Kuunganisha wakulima na wadau mbalimbali
4.Kuunganisha wakulima na masoko
5.Kuhamasisha uanzishwaji wa vyama vya ushirika
6.Kutoa elimu ya uendeshaji wa vyama vya ushirika
7.Kukagua vyama vya ushirika na kutoa ushauri
8.Kuendeleza kilimo cha umwagiliaji
9.Kuhakikisha upatikanaji wa pembejeo za kilimo
10.Kutoa taarifa za tahadhari mfano ukame, mafuriko, uwepo wa magonjwa, wadudu na wanyama waharibifu na jinsi ya kukabiliana.
11.Kusimamia na kuhakikisha kuwa miradi ya kilimo inatekelezwa
12.Kuandaa taarifa na kuwasilisha katika mamlaka husika
13.Kuandaa mpango na bajeti ya idara
14.Kuunganisha wakulima na makampuni yanayouza zana za kilimo
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.