Wilaya ya Muheza ni miongoni mwa Wilaya nane (8) zinazounda Mkoa wa Tanga. Wilaya ya Muheza ilianza mwaka 1974, ambapo ilimegwa kutoka katika Wilaya ya Tanga. Wilaya ina Tarafa 4 za Muheza, Bwembwera, Amani na Ngomeni, Kata 37, vijiji 135, na Vitongoji 522. Halmashauri ya Wilaya ya Muheza ilianzishwa tarehe 01/01/1984 Kwa mujibu wa Kanuni ya uanzishwaji wa serikali za mitaa ya mwaka 1982.
Orodha ya Wakurugenzi waliopita Mpaka sasa.
No
|
Jina Kamili
|
Mwaka Alioanza
|
Mwaka alioondoka |
1.
|
Luiza O. Mlelwa
|
2016
|
- |
2.
|
Adrian J. Jungu
|
2014
|
2016
|
3. | Samweli S. Sarianga
|
2014
|
2014
|
4. | Ibrahim Matovu
|
2012
|
2014
|
5. | Temu E. Goliati
|
2009
|
2012
|
6. | Majuto A. Mguguyu | 2008 | 2009 |
7. | E. W. Kalimalwendo2003 | 2003 | 2008 |
8. | Obed K. Mwasha | 1998 | 2003 |
9. | Bi. Thabita Mshakangoto | 1996 | 1998 |
10. | Diwani O. Izina | 1992 | 1996 |
11. | George C.J. Mbezi | 1989 | 1992 |
12. | John P. Gweba | 1983 | 1988 |
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.