Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, mnamo tarehe 21/11/2025 imefanya mafunzo ya Uandaaji na Utekelezaji wa Mipango na Bajeti kwa Maafisa Bajeti wa Idara na Vitengo pamoja na watumishi wa idara ya Afya.
Mafunzo hayo yenye lengo lakuwaongezea ufanisi na uelewa katika kipindi cha uandaaji wa mipango na bajeti katika maeneo yao ya utendaji kazi, ili kuhakikisha mipango yao inaendana na bajeti wanazo ziweka.
Hatua hii ni katika kujiandaa katika kuelekea uandaaji wa mipango na bajeti kwa mwaka wa fedha 2026/2027.
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.