1.0 UTANGULIZI:
Idara ya Afya, imegawanyika katika Vitengo vikuu viwili, ambavyo ni kitengo cha Afya Tiba na Afya Kinga. Aidha idara hii inahudumia wananchi kupitia jumla ya Vituo 49 vya kutolea huduma za Afya vikiwemo vya Serikali, Mashirika ya Dini na watu Binafsi kama inavyoonekana katika Jedwali hapa chini:-
KITUO CHA HUDUMA
|
SERIKALI
|
BINAFSI
|
MASHIRIKA
|
JUMLA
|
Hospitali
|
0
|
0
|
1
|
1
|
Vituo vya Afya
|
2
|
1
|
1
|
4
|
Zahanati
|
33
|
10
|
1
|
44
|
Jumla:
|
35
|
11
|
3
|
49
|
2.0 RASIMALI WATU
Idara ina jumla ya watumishi wapatao 285 wa kada mbalimbali za afya.
MAJUKUMU YA IDARA YA AFYA
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.