1.Kutoa ushauri wa kilimo bora kwa wakulima
2.Kuunganisha wakulima na wadau wa kilimo mfano watafiti na watoa huduma wengine
3.Kutoa taarifa mbalimbali za tahadhari zinazohusu kilimo mfano milipuko ya magonjwa, wadudu, wanyama waharibifu, ukame na mafuriko.
4.Kuunganisha wakulima katika vikundi na vyama vya msingi (AMCOs) na vyama vya kuweka na kukopa (SACCOs)
5.Kukagua vyama vya ushirika na SACCOs
6.Kutoa elimu ya ushirika
1. Ushauri wa kilimo bora unapatikana kupitia maafisa ugani wa vijiji na kata kwa kuwatembelea wakulima aidha mmoja mmoja, vikundi, mashamba darasa, mikutano, matangazo.
2.Wadau mbalimbali wa kilimo huelekezwa maeneo na shughuli za kushirikiana katika kutoa huduma
3.Taarifa za tahadhari hutolewa kupitia maafisa ugani wa vijiji na kata, viongozi katika ngazi mbalimbali, matangazo, mikutano, vijarida.
4.Uhamasishaji kwa njia ya mikutano hufanywa ili kuanzisha vyama vya ushirika
5.Vyama vya ushirika hukaguliwa na maafisa ushirika
6.Elimu ya ushirika hutolewa na maafisa ushirika
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.