Posted on: February 23rd, 2020
Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya Muheza Dk. Flora Kessy amewataka Wananchi kujiunga na Mfuko wa Bima ya Afya iliyoboreshwa ICHF. Ili kuweza kutatua changamoto ya upungufu wa dawa katika vituo vya ...
Posted on: March 7th, 2020
Wanawake Wilaya ya Muheza wamejitolea kuchimba Msingi wa chumba cha Darasa katika Shule ya Msingi Muheza Estate iliyopo kata ya Tanganyika leo tarehe 07/03/2020 lengo ikiwa ni kutatua changamoto...
Posted on: February 3rd, 2020
Kutokana na kuwepo kwa muitikio mdogo wa Wazazi kuhusu Elimu, pia kushuka kwa ufaulu Wilayani Muheza 2019. Ambapo hali ya ufaulu 2019 ni 65.3% umeshuka kwa 8.7% ukilinganisha na ufaulu Mwaka ...