Posted on: July 28th, 2018
Wizara ya elimu na Mafunzo ya ufundi kupitia mradi wa kusimamia stadi za KKK au “LANES” imeipatia Halmsahauri ya Wilaya ya Muheza pikipiki 33 kwaajili ya kuwawezesha Waratibu Elimu Kata katika zoezi z...
Posted on: July 27th, 2018
Kampuni ya Amboni Sisal Properties iliopo kata ya Kigombe wilayani Muheza mkoani Tanga imeakabidhi msaada wa fedha shilingi Milioni Sita(6,000,000/=) kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa...
Posted on: May 9th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Muheza imetoa mikopo yenye thamani ya Tshs. 10,000,000/= kwa kipindi cha Robo ya Nne (Aprili – Mei 2018) kwa vikundi viwili vya uzalishaji mali ambavyo ni Umoja wa Mafundi Uje...