Posted on: August 5th, 2022
Jumla ya Makarani 1,020 wapatiwa Mafunzo ya siku 19 ya Sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika mnamo Agosti 23, 2022 baada ya kufaulu usaili uliofanyika katika kata zao.
Mafunzo ha...
Posted on: July 14th, 2022
Halmshauri ya Wilaya ya Muheza kupitia Mapato yake ya ndani imenunua pikipiki saba (7) zenye thamani ya shilingi Milioni kumi na saba na laki tano (17,500,000) na kuzikabidhi kwa maafisa kilimo wa kat...
Posted on: June 25th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Muheza imepata hati safi katika kipindi cha miaka mitano mfululizo yaani hati inayoridhisha kwa Mwaka wa fedha kuanzia Mwaka wa fedha 2016/2017 hadi 2020/...