• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA YAPATA HATI SAFI

Posted on: June 25th, 2022


Halmashauri ya Wilaya ya Muheza imepata hati safi  katika kipindi cha miaka mitano mfululizo yaani hati inayoridhisha kwa  Mwaka wa fedha kuanzia Mwaka wa fedha 2016/2017 hadi 2020/2021 ambapo kati ya hoja 65 ilizokuwa nazo tayari hoja 21 zimehakikiwa na kufungwa ikiwa hoja 44 zilizobaki ziko katika hatua mbalimbali za utekelezaji.

Ameyasema hayo Mkaguzi wa ndani wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Bi. Vumilia Saimanga wakati akiwasilisha taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali CAG katika kikao maalum cha baraza la madiwani kilichoketi na kujadili majibu ya hoja za ukaguzi tarehe 22/6/2022.

Matokeo hayo  ya upatikanaji wa hati inayoridhisha HATI SAFI  (unqualified opinion) yametokana na upatikanaji wa majibu sahihi ya hoja  yaliyotolewa na wataalamu wa idara na vitengo mbalimbali vilivyopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Muheza yaliyopelekea kufungwa kwa hoja 21 za ukaguzi.  

 

Tangazo

  • TANGAZO KWA WATUMISHI AJIRA MPYA WA IDARA YA AFYA NA ELIMU 2022 July 05, 2022
  • MATOKEO YA KIDATO CHA SITA 2022 July 06, 2022
  • ORODHA YA MAJINA YA MAKARANI,WASIMAMIZI MAUDHUI NA WASIMAMIZI WA TEHAMA WALIOCHAGULIWA KWAAJILI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI MUHEZA July 27, 2022
  • TANGAZO LA ZABUNI YA UWAKALA WA UKUSANYAJI WA USHURU WA MAZAO May 24, 2022
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • KUELEKEA KILELE CHA NANE NANE KANDA MASHARIKI, KARIBU KATIKA BANDA LA MUHEZA

    August 07, 2022
  • MUHEZA JOGGING YAZINDUA BONANZA LA SENSA

    August 07, 2022
  • MUHEZA YAJIPANGA MAONESHO YA NANE NANE KANDA YA MASHARIKI

    July 25, 2022
  • MAKARANI WA SENSA YA WATU NA MAKAZI 1,020 WAPATIWA MAFUNZO.

    August 05, 2022
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0655415152

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.