Posted on: April 9th, 2022
Nature Tanzania ni Asasi isiyo ya kiserikali inayojishughulisha na uhifadhi wa Mazingira, Maendeleo ya jamii na Uhifadhi wanyamapori imetoa fedha kiasi cha shilingi Milioni kumi na moja...
Posted on: March 10th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mhe Halima Abdallah Bulembo amewataka wanawake kuchangamkia fursa za kiuchumi na kielimu ili waweze kufikia malengo na ndoto walizonazo katika maisha yao. Ameyasema h...
Posted on: March 5th, 2022
Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mhe, Halima Abdallah Bulembo kwa kushirikiana na kampuni ya Makazi Solutions wamekabidhi Hati za Viwanja 124 kwa wananchi ambao wamekamilisha taratibu zote za malipo ...