Posted on: January 20th, 2024
Baraza la Wafanyakazi la Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga limepitisha Mapendekezo ya Makisio ya Bajeti ya Mapato na Matumizi ya Jumla ya Bilioni 47 kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025.
...
Posted on: January 10th, 2024
Viongozi wa Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga mnao Disemba 30, 2023 wamezindua Msimu wa uvunaji wa mazao ya Viungo, iliki, karafuu, mdalasini na Pilipilimanga ili kuwasaidia wakulima kuvuna...
Posted on: January 8th, 2024
Serikali ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga imesema itachukua hatua kwa wazazi ambao watashindwa kuwapeka watoto Shuleni wakiwemo wale wanaoendelea na masomo na wale wanaoanza rasmi darasa la A...