Posted on: January 28th, 2022
Watendaji wa kata na Vijiji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza leo tarehe 28/1/2022 katika ukumbi wa mikutano wa walimu (CWT) wamepatiwa mafunzo ya Anwani za Makazi ili kuwajengea uwezo...
Posted on: January 28th, 2022
Serikali inatekeleza mpango wa Anwani za Makazi ikiwa ni utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Posta ya Mwaka 2003, Makubaliano ya kimataifa (PanAfricanPostal Union (PAPU), Univesal Postal Union (U...
Posted on: January 19th, 2022
Halmashauri ya Wilaya ya Muheza imejipanga kikamilifu kuanza zoezi la Sensa ya Watu na Makazi linalotarajiwa kufanyika mnamo Mwezi Agosti 2022 ikiwa na lengo la kupata idadi ya watu wote kati...