Posted on: April 11th, 2019
Mkuu wa Mkoa Tanga, Mhe Martin Shigella amefanya Ziara katika Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya Muheza uliopo katika kata ya Lusanga Tarafa Ngomeni leo tarehe 11/04/2019 ili kujiri...
Posted on: March 29th, 2019
Naibu Waziri Nishati Subira Mgalu atembelea wilaya Muheza jana tarehe 29/3/2019 katika miradi ya umeme iliyopo katika vijiji vya Mamboleo Lusanga, Misongeni na Mamboleo Nkum...
Posted on: March 22nd, 2019
Mbunge wa Jimbo la Muheza Mhe balozi Adadi Rajabu afanya kikao na Wadau wa Jukwaa la Machungwa leo katika ukumbi wa mikutano wa Chama Cha Walimu(CWT) baada ya kuona machungwa yanakosa soko wilayan...