• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YA WILAYA MUHEZA YAPONGEZWA

Posted on: October 24th, 2019

Naibu Waziri Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe, Angelina Mabula ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Muheza kwa kutekeleza maagizo mbalimbali ya Serikali jana tarehe 23/10/2019 alipofanya Ziara ya kikazi wilayani humo. Akizungumza na baadhi ya viongozi wa Wilaya Muheza na watumishi wa Idara ya Ardhi Mabula amesema amefurahishwa na utekelezaji wa maagizo aliyowaachia.

Awali Naibu Waziri alitoa maagizo ya kufanya marekebisho katika uhifadhi wa nyaraka kwenye Masijala ya Ardhi, pia alitoa agizo la kuweka Mtumishi wa Masijala na kumpatia mafunzo. Isa Msumari anayekaimu ukuu wa idara ya Ardhi amesema “Mheshimiwa Naibu Waziri tumetekeleza maagizo uliyokuwa umeyaacha kuweka folio namba kwenye faili, translada, minute sheet na nyaraka katika mpangilio mzuri ikiwa ni pamoja na kushikwaa na green tag. Pia tumetekeleza kuweka Mtumishi wa Masijala na kumpatia mafunzo Mtumishi huyo ni Bi. Regina Alpha Mayungu”.

Kadhalika Mheshimiwa Angelina Mabula amewasisitiza kufanya maandalizi ya maeneo ya uwekezaji pia ameomba upimaji wa maeneo yote ya umma uendelee ili tuweze kuondoa migogoro ya Ardhi Mheshimiwa Angelina Mabula  alipokuwa akizungumza na idara ya Ardhi ameikumbusha Halmashauri  kulipa fedha za National Housing  wanazodaiwa kwa wakati ili Miradi ya ujenzi iendelee kwa wakati.

Pia Naibu Waziri alipata nafasi ya kutembelea Mradi wa ujezi wa Ofisi za Ardhi akiongozwa na mwenyeji wake Mheshimiwa Mwanasha Tumbo Mkuu wa Wilaya Muheza, ambapo ujenzi upo katika hatua ya kumwaga jamvi. Naibu Waziri amemuomba Mkandarasi Amani Baraka kuagiza mchanga wakutosha ili shughuli za Ujenzi zisisimame hii ni kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

Tangazo

  • WANAOITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA KAZI ZA AFYA October 12, 2024
  • MATOKEA YA NAFASI ZA UDEREVA October 10, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • MICHAEL MSECHU AONGOZA WANANCHI WA MUHEZA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

    February 19, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.