• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

Ziara ya Mafunzo ya Wakulima Toka Zanzibar

Posted on: November 15th, 2017

Halmashauri ya Wilaya ya Muheza imepokea wageni toka Unguja na Zanzibar ambao ni wakulima 23 na Maafisa ugani 4 waliokuja kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu na wakulima wenzao katika maeneo yetu.

Ziara hii imewezeshwa na mtaalamu elekezi (consultant) wa MIVARF-Zanzibar Mr Gideon Mchau na imejumuisha vikundi 3 vya wakulima wa Ndimu na mananasi ambavyo ni

  1. Donge Mnyimbi toka shehia ya Manyimbi mpya mkoa wa Kaskazini "B"
  2. Maendeleo kwa wote toka shehia ya Bondemaji Mkoa wa Kaskazini "A"
  3. Juhudi zetu toka shehia ya Bwejuu Mkoa wa Kaskazini "A"

Katika maeneo yetu wamependa kujifunza juu ya uzalishaji na uendelezaji wa mazao katika uongezaji wa thamani katika maeneo yafuatayo

  • Uzalishaji (Agronomy)
  • Kuongeza thamani
  • Mitaji
  • Masoko
  • Mafanikio na changamoto

Walipata fursa ya kutembelea vikundi viwili vya wakulima katika vijiji vya Kilongo, Kikundi cha KIFAA (Kilongo Farmers Association) na Kijiji cha Maduma, kikundi cha uzalishaji miche ya michungwa na milimao. Walipata maelezo ya kutosha kufikia malengo yao.



Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA UCHAGUZI October 06, 2025
  • MAREKEBISHO YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO October 23, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA September 24, 2025
  • Halmashauri, Bodi ya Korosho Muheza Kugawa miche ya Korosho Bure March 07, 2018
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • LISHE ALAMA ZA KIJANI MUHEZA

    November 12, 2025
  • UZINDUZI WA BODI MPYA YA AFYA YA WILAYA

    November 12, 2025
  • DC SEBABILI ATOA WITO K WA WANANCHI KUTOA TAARIFA ZA WANAOTISHIA KUVUNJA AMANI SIKU YA UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • TANZANIA KUENDELEA KUA KITOVU CHA UZALISHAJI WA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI

    October 16, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.