Mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF) kupitia mradi wake wa kunusuru kaya maskini umetoa fedha kiasi cha shilingi Milioni 74,331,039 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa, ofisi ya walimu na matundu 6 ya vyoo katika Shule ya Sekondari Kwemkabala iliyopo katika kata ya Kwemkabala Wilaya ya Muheza.
Katika utekelezaji wa miradi hiyo vyumba viwili vya madarasa na ofisi mpaka sasa vimekamilika na vinatumika.
Ikiwa matundu 6 ya vyoo amabapo vyoo matundu 4 ya wanafunzi yako katika hatua ya upauaji na matundu 2 ya vyoo vya walimu yako katika hatua ya umaliziaji na yanatumika
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.