Waziri Ofisi ya Raisi Tamisemi Mhe. Sulemani Jafo akikagua Miradi ya Maendeleo wilayani Muheza leo tarehe 11/12/2017 ambapo na mambo mengine ameahidi kusimamia upatikanaji wa fedha takribani milioni mianne kwa ajili ya ujenzi wa chumba cha upasuaji katika kitua cha afya Mkuzi.
Habari picha Mhe. Waziri akipokea maelezo ya mdau wa maendeleo(MDTF) ambao wamejitolea kujenga wodi ya wa mama wajawazito
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.