Muheza Jogging Sports and club ni klabu inayojihusisha na mazoezi ya viungo kwa wananchi waliopo ndani na Nje ya Muheza ili kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza kama vile kisukari Presha.
Muheza Jogging ilianzishwa Mwaka 2014 ikiwa na lengo la kufanya mazoezi kwa afya ili kujikinga na magonjwa nyemelezi ambapo mpaka sasa Klabu hiyo ina wanachama 156 amabao hushiriki mazoezi na michezo mingine kama mpira na Mashindano mbalimbali kama vile Marathon.
Katika hafla ya kuzimisha Miaka 8 ya Muheza Joggig Bonanza la sensa lilizinduliwa likiwa na lengo la kutoa hamasa kwa wananchi juu ya sense ya watu na mazazi itakayofanyika makazi kufanyika Agosti 23,2022
Bonanza hilo limezinduliwa leo tarehe 7/8/2022 kuanzia saa 12:00 asubuhi katika Uwanja wa Jitegemee ambapo Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mhe. Halima Abdallah Bulembo alikuwa Mgeni rasmi.
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.