• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

DED MUHEZA AZINDUA BARAZA LA WAFANYAKAZI

Posted on: February 25th, 2022


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Bw. Nassib Mmbagga  amezindua baraza la waafanyakazi  tarehe 23/2/2022 katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri.

Hafla hiyo iliongozwa na mkurugenzi huyo ambaye ni Mwenyekiti wa baraza na kuhudhuriwa na wajumbe wa baraza hilo ambao ni Wakuu wa idara,wakuu wa vitengo, wawakilishi  kutoka kila idara na vitengo, viongozi wa vyama vya wafanyakazi mkoa na Wilaya pamoja na wawakilishi wa watendaji kata na vijiji.

Uzinduzi huo uliambatana na uchaguzi wa katibu na katibu Msaidizi ambapo wfanyakazi 2 waligombea nyadhifa hizo ambao ni Adam Nyenza ambaye ni Afisa kilimo na Kiope siwema Salum afisa habari.

Kwa kuwa baraza la awali limemaliza muda wake uchaguzi ulifanyika kuwapata makatibu wapya katika kinyang’anyilo hicho  wapiga kura walikuwa 48 ambapo matokea yalionyesha kuwa afisa habari amepeta kura 21 na Adam Nyenza alipata kura 27 hivyo basi Afisa kilimo aliibuka mshindi na kuwa Katibu wa baraza wakati Siwema akishikiria nafasi ya katibu Msaidizi.

Akizungumza katika baraza hilo mkurugenzi amesema anawashukuru wajumbe kwa kupiga kura kwa usahihi bila kuharibu kura lakini pia aliwapongeza washiriki na kuwataka wafanye kazi kama ilivyoelezwa katika mwongozo baraza la wafanyakazi.

Tangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA UCHAGUZI October 06, 2025
  • MAREKEBISHO YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO October 23, 2025
  • TANGAZO LA MAOMBI YA MPIGA KURA September 24, 2025
  • Halmashauri, Bodi ya Korosho Muheza Kugawa miche ya Korosho Bure March 07, 2018
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • LISHE ALAMA ZA KIJANI MUHEZA

    November 12, 2025
  • UZINDUZI WA BODI MPYA YA AFYA YA WILAYA

    November 12, 2025
  • DC SEBABILI ATOA WITO K WA WANANCHI KUTOA TAARIFA ZA WANAOTISHIA KUVUNJA AMANI SIKU YA UCHAGUZI

    October 18, 2025
  • TANZANIA KUENDELEA KUA KITOVU CHA UZALISHAJI WA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI

    October 16, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.