limepitisha bajeti ya mwaka 2019/2020 kwa kishinndo jana tarehe 23/01/2019katika ukumbi wa Halmashauri baada ya kujiridhisha na taarifa ya mapendekezo ya mpango na bajeti ilivyowasilishwa.
Akisoma taarifa ya mapendekezo ya mpango na bajeti ya Halmashauri ya Wilaya kwa mwaka 2019/2020, Afisa Mipango Wilaya Ndugu Pascal Temba amesema Halmashauri Mwenyekiti wa Halmashashauri ya wilaya Muheza Mhe, Bakari Zuberi Mhando amesema baraza la Madiwani imekisia kupokea ruzuku kutoka Serikali kuu na kukusanya mapato ya ndani kutoka kwenye vyanzo vyake jumla ya Tshs 33,431,886,039.
Aidha ruzuku toka Serikali kuu ni 30,431,886,039 ambapo mishahara 25,170,257,039, Matumizi mengineyo 993,696,000, Miradi ya Maendeleo 4,587,993,000 na mapato ya ndani ni 2, 680,000,000 ambapo mapato ya ndani 2,480,000,000, CHF 100,000,000 na NHIF 100,000,000.
Pia alitoa taarifa ya uchaguzi kuwa Halmashauri inatarajia kupokea kiasi cha cha TZS 515,485,724 kwa ajili ya shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika mnamo mwezi Oktoba 2019.
Mkuu wa wilaya muheza akizungumza kwenye Mkutano wa baraza |
|
Waheshimiwa madiwani wakiwa kwenye kikao cha baraza |
|
||
Mkuu wa Wilaya Muheza Mhe, Mwanasha Rajabu Tumbo akitoa maagizo ya Serikali jana tarehe 23/1/2019 katika kikao cha Baraza la Madiwani. |
|
|
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.