• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

Maji

Idara ya Maji ina jukumu la kutoa huduma ya maji safi na salama . Idara ina jumla ya watumishi 13 ambao ni wahandisi 2, mafundi sanifu 4, mafundi sanifu wasaidizi 7


Majukumu ya Idara ya Maji

1.Kupanga, kusimamia na kuratibu shughuli zote za miradi ya miundo mbinu ya maji ili kuhakikisha kuwa miradi inatekelezwa kwa viwango vya ubora unaokubalika.

2.Kutoa ushauri wa kitaalamu kwa Mkurugenzi wa Halmashauri wakati wa kuandaa na kutekeleza miradi ya ujenzi wa maji katika maeneo yote yanayotekelezwa miradi ya miundo mbinu.

3.Kusimamia utekelezaji wa sera, miongozo na sheria zinazotolewa na serikali juu ya utekelezaji na uendeshaji miradi ya maji ili iweze kuleta tija kwa kuinua uchumi na maendeleo kwa Taifa.

4.Kubuni na kusimamia miradi inayoanzishwa na jamii, Taasisi na Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa njia shirikisha jamii kulingana na kanuni na miongozo inayotolewa na serikali ya Jamhuri ya Muungano.

5.Kufanya upimaji na uchunguzi wa miradi mipya ya maji.

6.Kusimamia uundaji wa vyombo vya watumiaji maji (COWSO).

7.Kusimamia sheria ya utunzaji wa vyanzo vya maji.

Idara ya maji inaundwa na Watumishi wafuatao

•Mhandisi  wa maji  Wilaya  

•Mhandisiwa maji  msaidizi      

•Fundi Sanifu  wanne

•Fundi Sanifu wasaidizi saba

 

Mgawanyo wa majukumu katika idara ni katika Tarafa  

•Tarafa ya Muheza mjini inasimamiwa na Meneja maji Mjini na mafundi sanifu wawili

•Tarafa ya Ngomeni  Fundi sanifu watatu

•Tarafa ya Amani Fundi sanifu watatu

•Tarafa ya Bwembwera fundi sanifu watatu


Idara inatoa huduma ya uchimbaji visima kwa kutumia mtambo wa Halmashauri na mpaka sasa Wilaya ya Muheza ina idadi ya visima 42 virefu na 86 visima vifupi na pia idara ya maji inatoa huduma ya kukodisha mtambo  wa Halmashauri kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya.

Tangazo

  • ORODHA YA WASIMAMIZI WASAIDIZI NA MAKARANI WA VITUO VYA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2020 October 21, 2020
  • IDADI YA WANAFUNZI WALIOFAULU DARASA LA SABA MWAKA 2020 November 26, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 KWA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MUHEZA.(JOINING INSTRUCTION FORM_2021_MUHEZA DC) December 18, 2020
  • Matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2017 January 31, 2018
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • ZAIDI YA VYETI 400 VYATOLEWA KWA WADAU WA MAENDELEO MUHEZA

    December 04, 2020
  • JAMII YATAKIWA KUSHIRIKIANA KUPIGA VITA VITENDO HATARISHI VINAVYOPEKEA KUPATA UKIMWI

    December 02, 2020
  • MILIONI 111 ZAKOPESHWA HALMASHAURI YA WILAYA MUHEZA

    November 27, 2020
  • DC MUHEZA AONYA VITENDO VYA UWEKEZAJI MAZAO MACHANGA

    November 19, 2020
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2641416

    Simu ya Mkononi: 0755415152

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.