• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

Elimu Sekondari

Utangulizi

Idara ya Elimu Sekondari ina Shule 31 zikiwemo Shule 25 za Serikali na Shule 6 za binafsi.

Idara ya elimu Sekondari inayo jumla ya watumishi sita wa makao makuu ya Halmashauri ambao ni Afisa Elimu Sekondari,Afisa Elimu vifaa  na Takwimu Sekondari, Afisa Elimu Taaluma Sekondari ,Mtunza kumbukumbu za ofisi, Dereva na Katibu Muhtasi  (PS). Idara ina jumla ya Walimu 617.

Majukumu ya Idara.

Idara inatekeleza majukumu yafuatayo;

  1. Kusimamia Sera ya na miongozo inayotolewa na Serikali kuhusu Elimu ya Sekondari ndani ya Wilaya
  2. Kusimamia ujenzi wa miundombinu ya shule ili yawepo mazingira rafiki ya kujifunzia kwa wanafunzi.
  3. Kumshauri Mkurugenzi wa Halmashauri kuhusu shughuli zote zinazohusu Idara ya Elimu ya Sekondari
  4. Kusimamia mitihani yote ya ndani na ile ya Taifa yaani Mitihani ya kidato cha II, IV na VI.
  5. Kusimamia, kuratibu na kufuatilia shughuli za ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari kama vile nyumba za walimu, madarasa, majengo ya utawala, maabara, mkataba na vyoo
  6. Kusimamia na kuratibu shughuli zote za Ukusanyaji, uchambuzi na kutafsiri takwimu za Idara ya elimu Sekondari na kuzituma sehemu husika.
  7. Kusimamia na kuratibu shughuli za uandaaji wa taarifa na kuzituma kwa wadau mbalimbali wa elimu ngazi ya Wilaya, Mkoa na Taifa
  8. Kusimamia na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata taaluma kwa kiwango kilicho bora kwa mujibu wa Sera ya Elimu ya mwaka 1995 na 2014.
  9. Kusimamia na kuhakikisha nidhamu ya wanafunzi, walimu na watumishi wasio walimu inadumishwa shuleni
  10. Kusimamia na kuhakikisha fedha za Idara ya Elimu Sekondari zinatumika kwa kufuata kanuni, sheria, taratibu na miongozo ya fedha za Serekali za Mitaa
  11. Kuhakikisha vifaa vya kufundishia na kujifunzia vinapatikana katika shule za sekondari
  12. Kuhakikisha kuwa shule zote za Sekondari zina samani za kutosha kwa ajili ya walimu na wanafunzi
  13. Kuandaa ajenda na kuhudhuria vikao vyote  halali vinavyohusu Idara ya Elimu Sekondari
  14. Kuandaa taarifa za utekelezaji za Idara ya Elimu sekondari za robo na mwaka na kuziwasilisha kwa wadau mbalimbali wa maendeleo kama vile Waheshimiwa Madiwani, Mkoa na Taifa
  15. Kuandaa makisio ya bajeti ya Idara ya Elimu ya Sekondari kila mwaka.
  16. Kupokea na kuwapangia vituo walimu na wafanyakazi wa idara wanaohamia au wanaoajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Muheza. 
  17. Kutoa na kusimamia huduma  ya Elimu katika shule zote za Sekondari ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza.
  18. Kuratibu uendeshaji wa Mitihani yote ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza
  19. Kusimamia Sera ya na miongozo inayotolewa na Serikali kuhusu Elimu ya Sekondari ndani ya Wilaya
  20. Kusimamia ujenzi wa miundombinu ya shule ili yawepo mazingira rafiki ya kujifunzia kwa wanafunzi

  2. Huduma zinazotolewa na Idara ya Elimu Sekondari

  • Kuwashauri Wazazi/Walezi kuwa karibu na watoto wao ili waweze kutimiza malengo ya ndoto zao.
  • Kuwashauri Wazazi/ Walezi kupata ufahamu kuwa Elimu ndio uridhi pekee na wa kudumu kwa mtoto hivyo mwanafunzi mwenye mwenendo wa utoro anachezea uridhi wake.

Tangazo

  • ORODHA YA WASIMAMIZI WASAIDIZI NA MAKARANI WA VITUO VYA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2020 October 21, 2020
  • IDADI YA WANAFUNZI WALIOFAULU DARASA LA SABA MWAKA 2020 November 26, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 KWA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MUHEZA.(JOINING INSTRUCTION FORM_2021_MUHEZA DC) December 18, 2020
  • Matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2017 January 31, 2018
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • WANANCHI WILAYANI MUHEZA WAKUSANYIKA KUMUOMBEA HAYATI DKT JOHN MAGUFULI

    March 27, 2021
  • JAMII YATAKIWA KUEPUKANA NA DHANA POTOFU YA UMEZAJI DAWA

    March 26, 2021
  • WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI HAYATI MAGUFULI KWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    March 20, 2021
  • WANAWAKE MUHEZA WASAIDIA TAULO ZA KIKE NA SARUJI SHULENI

    March 08, 2021
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2641416

    Simu ya Mkononi: 0755415152

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.