Friday 26th, April 2024
@UWANJA WA JITEGEMEE
Wananchi wametakiwa kuhudhuria kwenye Mazoezi ya viungo kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi bila kukosa pamoja na Watumishi wote wa Halmashauri na Taasisi Mbalimbali. Kwenye picha Mkuu wa Wilaya akiambatana na wananchi pamoja na wadau mbalimbali katika kushiriki mazoezi ya viungo.
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.