Na. |
JINA LA MRADI |
TAREHE YA KUANZA MRADI |
TAREHE YA KUKAMILIKA |
MKANDARASI |
CHANZO CHA FEDHA |
HALI YA MRADI MPAKA SASA |
1
|
Ujenzi na ukarabati wa kituo cha Afya Mkuzi
|
29/2/2018
|
29/5/2018
|
Mafundi wa kawaida (Local Contractors)
|
Benki ya Dunia
|
Majengo mawili ya chumba cha kuifadhia maiti na Maabara yapo kwenye renta,majengo mengine yapo kwenye atua ya ujenzi wa msingi.
|
2
|
Ujenzi wa jengo la upasuaji kituo cha Afya Ubwari
|
18/4/2018
|
2018
|
Mafundi wa kawaida (Local Contractors)
|
Mfadhili TSN FOUNDATION BAGHOZAH GROUP,Michango ya wananchi ,wadau wa maendeleo wa Afya na mapato ya ndani ya halmashauri.
|
Ujenzi jengo la upasuaji umefikia hatua ya ring beam.
|
3 | Ujenzi wa Kituo cha Afya Mhamba(kubadilisha jengo la matibabu kua chumba cha upasuaji)
|
2017
|
2018
|
Mafundi wa kawaida (Local Contractors)
|
Mfuko wa jimbo/nguvu za wananchi
|
Vifaa mbalimbali vya ujenzi vimenunuliwa na kupelekwa na tayari ujenzi uko hatua za awali kuanza.
|
4 | Ujenzi wa kituo cha Afya Ngomeni Umba
|
2017
|
2019
|
Mafundi wa kawaida (Local Contractors)
|
Mfuko wa jimbo/nguvu za wananchi
|
Vifaa mbalimbali vya ujenzi vimenunuliwa na zoezi la kusafisha eneo la ujenzi limekamilika.
|
5 | Ujenzi wa kituo cha Afya Potwe
|
Novemba-2017
|
Novemba 2018
|
Mafundi wa kawaida (Local Contractors)
|
Mfuko wa jimbo/nguvu za wananchi
|
Upimaji na uchimbaji wa msingi wa majengo ya wodi na jengo la upasuaji umekamilika,zoezi la kuinua kuta linaendelea.
|
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.