UTEKELEZAJI WA MPANGO WA TASAF AWAMU YA TATU WILAYANI MUHEZA
UTANGULIZI
TASAF ni kifupisho cha maneno ya kiingereza Tanzania Social Action Fund na kiswahili ni Mfuko wa Maendeleo ya Jamii.
TASAF awamu ya tatu ni mpango wa kuwezesha kaya maskini kuongeza kipato, fursa na uwezo wa kugharaia mahitaji muhimu kwa kutoa ruzuku ya msingi na ya masharti kwa kaya maskini ili iweze kugharimia mahitaji muhimu ya kibinadamu, huduma za elimu na afya.
MADHUMUNI YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI
VIGEZO VILIVYOTUMIKA KUBAINI KAYA MASKINI
Mtukio kwa Picha
Elizabeth((Mnufaika wa TASAF)) akiwa kwenye Bustani yake ya mbogamboga, Kijiji cha Majengo
Mwajuma (Mnufaika wa TASAF) alimeweza kufyatua tofali kwa ajili ya maandalizi ya
ujenzi wa nyumba ya kuishi Kijiji cha Mafere.
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.