• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

KATIBU CHONGOLO AFANYA ZIARA MUHEZA

Posted on: August 12th, 2022


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Daniel Godfrey Chongolo  amefanya ziara ya siku moja Wilayani Muheza mnamo siku ya Alhamisi tarehe 11/8/2022.

Lengo la Ziara yake ni kuona namna Wilaya hiyo ilivyotekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika shughuli mbalimbali za kiserikali hususani Miradi ya Maendeleo na kutembelea  uongozi wa  Chama ya cha Mapinduzi (CCM) pamoja na idara mabalimbali za Halmashauri.

Akitembelea katika Shule Mpya ya  Sekondari Kisiwani iliyopo katika kata ya Kisiwa tarafa ya Amani ambayo katika ilipokea  fedha kiasi cha shilingi Milioni 470 (470,000,000) kutoka Serikali kuu kupitia Mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari nchini (SEQUIP) ambayo mpaka sasa ipo katika hatua mbalimbali za ukamilishaji Chongolo amesema Shule hiyo iko katika mazingira rafiki ya kujisomea anakwenda kusukuma ipatikane pesa ya kujenga nyumba za walimu na kuhakihisha Shule hizo zinakuwana Michepuo ya Kilimo.

Akitoa pongezi kwa Mhe Samia Suluhu Hassan Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Katibu Mkuu wa CCm amesema Serikali ya Mama Samia imefanya mambo makubwa ambapo imejenga Shule zaid ya 200 kwa kutumia fedha za Sequip hapa nchini.

Vile vile amewapongeza wananchi kwa kuanziasha mradi huo kwa kutumia nguvu kazi yao yenye thamani Zaidi ya Shilingi  Milioni 17 na kuwataka wananchi wajiongeze kuzifanya Shule hizo kuongezewa madarasa ya kidato cha tano na sita.

Pia amezitaka taasisi zote za umma kabla ya kuanzishwa kwake utaratibu wa kuwa na hati Miliki za maeneo hayo ufanyika haraka ili kukwepa kesi na Migogoro ianayoweza kujitokeza hapo mbeleni.

Aidha amependekeza Shule hiyo ijulikane kwa  jina la SHULE YA SEKONDARI  MANOFU kwa kuwa mmiliki na aliyetoa ardhi yake kwa ridhaa ya kujenga Shule hiyo anaitwa Manofu ikiwa ni sehemu ya kuenzi na kuthamini mchango wa mwananchi huo mwenye uzalendo wa dhati  katika Nchi yake.

Akiwa katika Shina namba 3 la Chama Cha Mapinduzi (CCM) lililopo katika kijiji cha Kwasemwariko kata ya Kilulu Wilayani Muheza Chongolo ameahidi kutoa mipira 2 mmoja wa wanawake na mwingine wa wanaume ikiwa ni sehemu ya kuwahimiza kujishughulisha na  michezo kwa kuwa michezo ni afya, michezo ni biashara na huongeza uchumi na kuwataka waachane na mchezo wa bao ambao hauwasaidii kuongeza kipato.

Aidha katika Ziara yake yote amehamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la Sensa ya watu na makazi ili kuisaidia Serikali kupanga mipango  yake ya maendeleo,

“Niwaombe ndugu zangu mjitokeze tarehe 23/8/2022 kuna sense ya watu na Makazi msipojitokeza mtashindwa kuletewa maendeleo stahiki katika Wilaya yenu, Sensa haina dini, haina siasa wala kabila huu ni mpango wa Serikali wa kutambua idadi ya watu wake ili iweze kuleta maendeleo, itasaidia kuleta dawa, kuongeza vituo vya afya ; mkihesabiwa vizuri kila mtu katika eneo lake atapangiwa mipango yake tujitokeze kuhesabiwa alisema Chongolo.

Tangazo

  • WANAOITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA KAZI ZA AFYA October 12, 2024
  • MATOKEA YA NAFASI ZA UDEREVA October 10, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • MICHAEL MSECHU AONGOZA WANANCHI WA MUHEZA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

    February 19, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.