• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

Mbunge Adadi akabidhi sehemu ya asilimia kumi ya mapato ya ndani kwa Vikundi vya wanawake na vijana

Posted on: May 9th, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Muheza imetoa mikopo yenye thamani ya Tshs. 10,000,000/= kwa kipindi cha Robo ya Nne (Aprili – Mei 2018) kwa vikundi viwili vya uzalishaji mali ambavyo ni Umoja wa Mafundi Ujenzi Vijana Muheza na kikundi cha wanawakwe MAMRUWI hivyo ni kukwawezesha wanavikundi kuongeza mtaji wa shughuli zao, ili waweze kuboresha miradi yao ya kiuchumi hasa yenye malengo ya kuanzisha viwanda vidogo na kuboresha vipato vya wanavikundi hao kwa ujumla.

VIKUNDI VILIVYOPITISHWA 

Vikundi vilivyoidhinishwa kupata mikopo ni hivi vifuatavyo:-

(1)UMOJA WA MAFUNDI UJENZI VIJANA MUHEZA

  • Kikundi hiki kina wanachama 23 na kinajishughulisha na Miradi ya ujenzi wa majengo mbalimbali. Ofisi Kuu ya Kikundi ipo kijiji cha Lusanga ‘A’, Kata ya Lusanga, Tarafa ya Ngomeni. Kwenye zoezi la ugawaji wa mikopo, Kikundi kimepata mkopo wenye thamani ya Tshs. 5,000,000/=.
  • Kikundi kimeanza kutumia sehemu ya fedha zake za mkopo kwaajili ya ununuzi wa mashine ya kuchanganyia zege yenye thamani ya Tshs. 2,200,000 ambayo kwa kuanzia itatumika katika ujenzi wa Hospitali ya Wilaya, Lusanga ‘A’ na maeneo mengine yatakayohitaji huduma ya ujenzi. Fedha iliyobaki ni Tshs. 2,800,000/= zitatumika kwaajili ya kununua vitendea kazi vingine.
    (2)KIKUNDI CHA WANAWAKE MAMRUVI
  • Kikundi hiki kina wanachama 7. Kikundi kipo kijiji cha Majengo, Kata ya Majengo, Tarafa ya Muheza. Kikundi   kinajishughulisha na Mradi wa utengenezaji Batiki na sabuni, kikundi kimepata mkopo wenye thamani ya Tshs. 5,000,000/=;
  • Kikundi kimeanza kutumia fedha za mkopo kwa kununua majora ya vitambaa, madawa ya kutengeneza batiki, sabuni na jiko la mkaa la kuoka mikate na keki pamoja na malighafi nyingine za kuzalishia. Vitu vyote vina thamani ta Tshs, 2,000,000/=. Fedha iliyobaki Tshs. 3,000,000/=zitatumika kununua majora, madawa na malighafi nyinginebaada ya kipindi hiki cha mvua kuisha.
    Maombi ya Mikopo ya vikundi hivi, yalipitishwa na Kikao cha Kamati ya Mikopo Wilaya tarehe 13/04/2018.

Tangazo

  • WANAOITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA KAZI ZA AFYA October 12, 2024
  • MATOKEA YA NAFASI ZA UDEREVA October 10, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • MICHAEL MSECHU AONGOZA WANANCHI WA MUHEZA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

    February 19, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.