Sunday 8th, September 2024
@STENDI YA BOMBANI- MUHEZA MJINI
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) itikadi, Uenezi na Mafunzo Taifa (MNEC) Comrade Paul Christian Makonda atafanya Ziara Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga siku ya Jumapili tarehe 21/1/2024 katika eneo la Stendi ya Mabasi ya Bombani
Lengo la Ziara yake ni kufanya ufuatiliaji na kuona ni kwa namna gani Wilaya hiyo imetekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akiwa Wilayani Muheza atafanya Mkutano wa hadhara na kusikiliza kero za wananchi katika eneo a stendi ya mabasi ya Bombani kuanzia saa 4:00 asubuhi.
Wananchi wote mnaarikwa kumlaki na Kumsikiliza na kuwasilisha kero zenu kwa Mhe. Paul Makonda Katibu uenezi, itikadi na Mafunzo Taifa.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA.
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.