Wednesday 18th, February 2026
@LUSANGA
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB) atafanya Ziara ya Kikazi Wilayani Muheza Siku ya Jumatatu tarehe 16/2/2026
katika Ziara yake atakagua na kuweka Jiwe la Msingi Jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza lililopo katika Kijiji cha Tanganyika Kata ya Lusanga.
Vilevile atasalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Muheza katika eneo hilo la Ujenzi wa Jengo la Ofisi ya Halmashauri.
Wananchi wote mnakaribishwa kumpokea, kumshangilia na Kumsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Zingatia: Muda wa kufika katika eneo hilo la Mradi ni saa 1:00 asubuhi.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA.
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.