• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI KUFANYIKA OKTOBA 28 2020

Wednesday 4th, June 2025
@VITUO VYA KUPIGIA KURA


Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2020 utafanyika siku ya jumatano tarehe 28 Oktoba, 2020. Vituo vilivyotumika kuandikishia wapiga kura ndivyo vitakavyotumika kupigia kura.

Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa 1:00 asubuhi na kufungwa saa 10:00 jioni, sambamba na hayo umebandikwa mfano wa karatasi ya kupigia kura wenye picha ya  kila Mgombea na nembo ya chama chake.

Aidha orodha ya majina ya wapiga kura kwa kila kituo imebandikwa vituoni hivyo basi kila mwananchi anapaswa kwenda kwenye kituo alichojiandikishia kuhakiki jina lake na kuona Mfano wa karatasi ya Kupigia kura.

MAMBO YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPIGA KURA/ SIKU YA UCHAGUZI

  • Mpiga kura afike kituo cha kupigia kura na kadi yake ya mpiga kura.
  • Mpiga kura aliyepoteza kadi yake anaruhusiwa kutumia kitambulisho mbadala kama vile Kitambulisho cha Taifa (NIDA), Pasi ya kusafiria, na Leseni ya udereva akiwa kwenye kituo alichojiandikishia tu, Kwa masharti kuwa majina yake yafanane nay ale yaliyopo kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
  • Mpiga kura anapaswa kuweka Kura ya Rais kwenye Sanduku lenye Mfuniko wa Bluu, Sanduku la mfuniko Mweusi kura ya Mbunge na Kura ya Diwani iwekwe kwenye sanduku lenye Mfuniko Mweupe.
  • Wapiga kura wasioona wapewe jalada ya nukta nundu(tactile ballot folder).
  • Wapiga kura wenye ulemavu wa miguu, Msimamizi wa kituo ahakikishe anakigeuza kituturi juu chini kukifanya kituturi hicho kuwa kifupi ili kuwawezesha wapiga kura wenye ulemavu wa miguu kupiga kura kwa urahisi.
  • Kipaumbele kitolewe kwa wapiga kura wenye ulemavu, wagonjwa wajawazito, Wazee na akina mama wanaonyonyesha na  waliokuja na watoto vituoni ili waweze kupiga kura mapema.
  • Msimamizi wa kituo ahakikishe kuwa wapiga kura wote wamejipanga katika mistari miwili, yaani mstari wa wanawake na wa wanaume.
  • Iwapo mpiga kura atakuwa na ulemavu utakaomsababisha ashindwe kupiga kura au hajui kusoma atamteua mtu yeyote anaemwamini amsaidie kupiga kura.
  • ANGALIZO:  Mpiga kura ambaye hayumo katika Daftari la kudumu la wapiga kura, hata kama anayo kadi ya mpiga kura inayoonyesha kuwa ni mpiga kura wa kituo hicho hataruhusiwa kupiga kura.

Tangazo

  • WANAOITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA KAZI ZA AFYA October 12, 2024
  • MATOKEA YA NAFASI ZA UDEREVA October 10, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • MICHAEL MSECHU AONGOZA WANANCHI WA MUHEZA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

    February 19, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.