• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

MPANGO WA KUSAJILI NA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA WATOTO

Sunday 11th, May 2025
@CRDB

MPANGO WA KUSAJILI NA KUTOA VYETI VYA KUZALIWA

Mpango wa kusajili na kutoa vyeti vya kuzaliwa bila malipo kwa watoto wenye umri chini ya miaka mitano utaanza rasmi mnamo tarehe 6/8/2020, huduma hii itatolewa katika ofisi za kata na vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya afya ya mama na watoto.

Mpango huu unalenga kuwasogezea huduma wananchi waliokuwa wakisafiri umbali mrefu kufuata huduma hizi kwani hapo awali zoezi hili lilikuwa likifanyika katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya wa eneo husika, kauli mbiu ni “Mtoto anastahili cheti cha kuzaliwa , Mpe haki yake”.

Zifuatazo ni faida za cheti cha kuzaliwa 

  • Ni utambulisho wa awali kisheria utakaomwezesha mtoto kupata haki nyingine
  • Humsaidia mtoto kuandikishwa Shule za Msingi na Sekondari
  • Kuzuia ajira ya watoto na kuwalinda watoto wanakinzana na sheria
  • Kuwawezesha wanafunzi kujiunga na vyuo na elimu ya juu.
  • Kupata mikopo ya elimu ya juu.
  • Ni lazim ili kupata ajira katika Taasisi za kiserikali na majeshi ya ulinzi na usalama
  • Ni kiambatanisho cha Msingi ili kupata kitambulisho cha Taifa katika zoezi linaloendelea nchini.
  • Husaidia kupata hati ya kusafiria (Passport)
  • KUMBUKA 
  • Mzazi afike kituo cha usajili na kiambatisho cha mtoto (nakala ya kadi ya kliniki au tangazo la kizazi).
  • Cheti cha kinachotolewa ni halali kwa matumizi yayoyote.
  • Cheti hakina ukomo wa matumizi na mtoto hatalazimika kupata kingine baada ya umri wa miaka mitano.
  • Cheti kitunzwe mahali salama na kisikunjwe
  • Vituo vinavyotumika ni vya kudumu .
  • Wazazi wanashauriwa kuandaa jina ili mtoto asajiliwe na kupata cheti mara tu anapozaliwa.

Aidha uzinduzi wa zoezi hili utafanyika siku ya alhamisi tarehe 6/8/2020 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika eneo la wazi la benki ya CRDB ikiwa Mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya Muheza Mhe, Mwanasha Tumbo.

WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA

Tangazo

  • WANAOITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA KAZI ZA AFYA October 12, 2024
  • MATOKEA YA NAFASI ZA UDEREVA October 10, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • MICHAEL MSECHU AONGOZA WANANCHI WA MUHEZA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

    February 19, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.