Monday 14th, October 2024
@TFS
Sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar ina sheherekewa kila tarehe 12 Januari ya kila Mwaka ambapo watu wa Zanzibar wanakumbuka namna walivyoupindua utawala wa Sultan wa kiarabu Mwaka 1963, Visiwa vya Zanzibar.
Januari 12,196 Mainduzi ya Zanzibar yalifanyika kwa kuondoa utawala wa Sultan na kuanzisha Jamhuri ya watu wa Zanzibar chini ya Uongozi wa Rais Abeid Amani Karume ambaye ndie Mwafrika wa Kwanza aliandika Histria ya kuongoza Visiwani humo kwenye bahari ya Hindi, karibu na Pwani ya Tanganyika.
Baada ya Mapinduzi matukufu ya Mwaka 1964 Zanzibar kiutawala iligaiwa katika Mikoa Mitatu (3) ambapo Kisiwa cha Unguja kulikuwa na Mikoa Miwili (2).
Katika Mwaka huu wa 2024 Zanzibar inaadhimisha Miaka 60 ya Mapinduzi ambapo Wilaya ya Muheza kupitia taasisi ya Misitu TFS imefanya Maadhimisho haya kwa kufanya Usafi wa Mazingira.
Baraza la Madiwani, Menejimenti na Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wanawataki watanzania wote maadhimisho mema ys miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar.
“Tuendelee kuyaenzi na kudumisha Misingi yake”.
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.