Thursday 15th, January 2026
@VIWANJA VYA SHULE YA SEKONDARI USAGARA
Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani hufanyika kila Mwaka Nchini.
kwa Mwaka huu 2025, Maadhimisho ya Siku ya Chakula Duniani Kitaifa yatafanyika Mkoani Tanga ikiwa Muheza ni Miongoni Mwa Halmashauri 11 za Mkoa huo zitakazoshiriki Maadhimisho hayo.
Maadhimisho hayo yatafanyika kwa Muda wa Siku Saba(7) kuanzia taraehe 10/10/2025 hadi 16/10/2025 katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Usagara iliyopo JIJINI TANGA.
Kaulimbiu ya Maadhimisho ya siku ya Chakula Duniani Mwaka huu 2025 inasema "Tuungane pamoja kupata Chakula Bora kwa Maisha Bora ya Baadae"
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.