• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

KARIBU MWENGE WA UHURU WILAYANI MUHEZA

Wednesday 4th, June 2025
@UWANJA WA JITEGEMEE


MKUU WA WILAYA YA MUHEZA ANAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA WILAYA YA MUHEZA KUWA MWENGE WA UHURU UTAWASILI KATIKA WILAYA YA MUHEZA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 28/5/2022 SAA 1:00 ASUBUHI KATIKA KIJIJI CHA MISOZWE NA UTAKIMBIZWA UMBALI WA KILOMITA 106.

MWENGE WA UHURU WA MWAKA HUU 2022 UTAKAGUA, UTAFUNGUA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA MIRADI 8 YA MAENDELEO YA BARABARA YA MKUMBI –MUHEZA ESTATE KILOMITA MOJA KIWANGO CHA LAMI.

 UFUNGUZI WA VYUMBA VITATU (3) VYA MADARASA YA UVIKO-19 NA UMALIZIAJI WA VYUMBA 4 VYA MADARASA SHULE YA SEKONDARI CHIEF MANG’ENYA VINAVYOTOKANA NA TOZO ZA MIAMALA YA SIMU

UWEKAJI JIWE LA MSINGI NYUMBA 4 ZA WALIMU SHULE YA SEKONDARI MISOZWE ZILIZOPO KATIKA KIJIJ CHA MISOZWE KATA YA MISOZWE WILAYANI MUHEZA

 UKAGUZI WA MRADI WA UWEZESHAJI VIJANA KIUCHUMI KIKUNDI CHA MKONGE KWANZA KINACHOJISHUGHULISHA NA BIASHARA YA UUZAJI WA ZAO LA MKONGE KILICHOPO KATIKA KITONGOJI CHA KWEMKABALA KATA YA KWEMKABALA.

 UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI UKUMBI WA BURUDANI MUHEZA COMFORT ULIOPO KATIKA KITONGOJI CHA MBARAMO KATA YA MBARAMO

UFUNGUZI WA NYUMBA YA WATUMISHI KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA ILIYOPO KATIKA KIJIJI CHA TANGANYIKA KATA YA LUSANGA.

 KUKABIDHI VITI MEZA NA KABATI SHULE YA MSINGI MBARAMO KWENYE SHULE YA WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM ILIYOPO KATIKA KITONGOJI CHA MBARAMO KATA YA MBARAMO.

 NA UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MRADI WA MAJI MIZEMBWE ULIOPO KATIKA KIJIJI CHA PANGAMLIMA KATA YA MBARAMO, MIRADI YOTE HII  IMEGHARIMU ZAIDI YA SHILINGI BILIONI MOJA.

ENEO LA MKESHA, MWENGE WA UHURU MWAKA 2022 UTAKESHA KATIKA UWANJA WA JITEGEMEE.

“WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KUSHIRIKI PAMOJA KUULAKI, KUUSHANGILIA NA KUSIKILIZA UJUMBE WA MWENGE WA UHURU MWAKA 2022”

KAULIMBIU YA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MWAKA 2022 INASEMA “SENSA NI MSINGI WA MIPANGO YA MAENDELEO SHIRIKI KUHESABIWA TUYAFIKIE MAENDELEO YA TAIFA”

Tangazo

  • WANAOITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA KAZI ZA AFYA October 12, 2024
  • MATOKEA YA NAFASI ZA UDEREVA October 10, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • MICHAEL MSECHU AONGOZA WANANCHI WA MUHEZA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

    February 19, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.