SHUGHULI ZA KIUCHUMI
Moja kati ya shughuli kuu za kiuchumi zinazofanyika katika Wilaya ni kilimo ambapo zaidi ya 90% ya wananchi wanajihusisha na kilimo pia ni njia mojawapo ya kuwapatia kipato wananchi. Kilimo ni chanzo kikuu cha mapato katika Wilaya. Ardhi inayofaa kwa shughuli mbalimbali inakadiriwa kuwa 1,145 kilomita za mraba (bila maji), kati ya hizo kilomita za mraba 916 zinafaa kwa shughuli za kilimo na ufugaji. Ardhi inayotumika ni kilomita za mraba 801 sawa na 70%.
There are three classified agro-economic zones in the Districs, these are characters by types of rainfall they recieve, climate latitude and soil types which together determine types of activities undertaken in the District. The three agro ecological zones are high lands, Midlands and lowlands.
The high lands
The highlands zone temperature raise between 200c -280c. Includes Amani division.
The rainfall ranges between 1,000 Minimed 1,800 mini per year rains from March to December.
The zone is characterized by hunted forest, extensive.
Grops widely cultivated in this zone are Tea, Cloves, Black paper, cordamon,cinnamon,
Cocoa, Banana and Cassava. Maize is a leading cultivated crop which is a staple food in the area.
The Midlands Zone
The zone include Nkumba ,Tongwe, Misozwe, Kicheba, Ngomeni, Lusanga, Mlingano, Mhamba, Songa, Kwafungo, Bwembwera, Tingeni, Kwakifua, Mtindiro, Mkuzi, Masuguru,Kwemkabala, Tanganyika and Mbaramo wards.
The cash crops grown are Orange, Sisal, and Coconut.
Staple food crops grown are Maize and Cassava while cash crops are oranges, Sisal and Coconunt.
The lowlands Zone
This include Kigombe ward whichi is located along the coast of Indian Ocean .
Temperature in the area range between 25oc and 32oc with average annual rainfall of 1,000
millimeter.
Vegetation is sub –Tropical forest
Staple food crops grown are Maize and cassava, cash crops are cashew nuts, and coconuts.
Kilimo cha umwagiliaji
Wilaya inajishughulisha pia na kilimo cha umwagiliaji katika kata ya Misozwe ambapo takribani hekta 40.36 zimelimwa mpunga katika skimu ya Misozwe. Jumla ya kaya 875 zimenufaika na mradi huo.Ujenzi wa skimu unaendelea kufikia lengo la hekta 100.
|
||
Bwawa la umwagiliaji katika kata ya misozwe.
|
|
Upandaji wa Mpunga katika skimu ya umwagiliaji misozwe.
|
|
|
|
Upandaji wa Mpunga katika skimu ya umwagiliaji misozwe.
|
|
Matokeo ya kilimo cha umwagiliaji Misozwe(Zao la Mpunga)
|
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.