• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

TANGAZO UUZAJI WA VIWANJA.

Posted on: May 28th, 2020

TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA.

MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA MUHEZA ANAWAKARIBISHA  WANANCHI WOTE  KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO YAFUATAYO KIBANDA (CHARTUR)  KILULU,MICHUNGWANI NA MAJENGO.

VIWANJA VYOTE VIMEPIMWA KWA UKUBWA NA MATUMIZI MBALIMBALI KAMA VILE:  MAKAZI PEKEE, MAKAZI NA BIASHARA, VIWANDA, BANDARI KAVU, MAEGESHO YA MAGARI NA CHUO KIKUU VIWANJA HIVYO VINAUZWA KWA MITA YA MRABA.

 

BEI YA VIWANJA KATIKA MAENEO HUSIKA NI KAMA IFUATAVYO:

  

 ENEO LA KIBANDA (CHARTUR)

  • BIASHARA TSHS 4000/= KWA MITA YA MRABA.
  • MAENEO YA UMMA (PB) 2500/= KWA MITAYA MRABA.
  • CHUO KIKUU TSHS 2500/= KWA MITA YA MRABA.

 

ENEO LA KILULU –NJIA YA KUELEKEA PANGANI (KILOMITA 2 KUTOKA BARABARA KUU).

  • MAKAZI PEKEE        TSHS 1,500/= KWA MITA YA MRABA.
  • MAKAZI NA BIASHARA    TSHS 2,000/= KWA MITA YA MRABA.
  • BIASHARA      TSHS 4,000/=  KWA MITA YA MRABA.

 

ENEO   LA MICHUNGWANI (KIDIDIMA)  NA MAJENGO (KILOMITA 3 TOKA BARABARA KUU).

  • MAKAZI PEKEE TSHS 2,500/= KWA MITA YA MRABA.
  • UKINUNUA KIWANJA UNAPATA NA HATI MILIKI MOJA KWA MOJA 

 

  • FOMU YA MAOMBI NI SHILINGI ELFU ISHIRINI (20,000) TU.

NB: VIWANJA HIVI VITAKOPESHWA KWA WATUMISHI WA MUHEZA TU NA KUREJESHA KWA AWAMU NDANI YA MWAKA MMOJA.

    

 KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA AFISA ARDHI  MUHEZA KWA SIMU NAMBA  0655212175 AU 0713-202652

 

                                                                                                IMETOLEWA NA;              

Tangazo

  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA KUKUSANYA TAARIFA NA KUWEKA ANWANI ZA MAKAZI March 08, 2022
  • ORODHA YA WALIOFAULU USAILI WA ANWANI ZA MAKAZI ULIOFANYIKA TAREHE 17/3/2022- MUHEZA March 18, 2022
  • TANGAZO LA SEMINA YA UKUSANYAJI WA TAARIFA ZA ANWANI ZA MAKAZI March 22, 2022
  • Matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2017 January 31, 2018
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • MUHEZA YAFIKIA ASILIMIA 97 ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI

    May 19, 2022
  • MUHEZA YAFIKIA ASILIMIA 97 ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI

    May 19, 2022
  • MUHEZA YAFIKIA ASILIMIA 97 ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI

    May 19, 2022
  • MUHEZA YAZINDUA CHANJO YA UGONJWA WA POLIO

    May 19, 2022
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0655415152

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.