• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

Mradi wa Maji Mlingano na Kivindo kupitia mpango wa uboreshaji Sekta ya Maji WSDP

Start Date: 2015-07-01
End Date: 2019-06-30

Kupitia mpango wa uboreshaji Sekta ya Maji WSDP wa vijiji 10 

1. Mradi wa Maji Mlingano

  • Kijiji cha Mlingano ni miongoni mwa vijiji 10 ambacho Mradi wake ndio unaoendelea kwa sasa, Mradi wa Maji Kijiji cha Mlingano upo Kata ya Mlingano na unatarajiwa utakapokamilika kuhudumia vijiji 3 vya Kata ya Mlingano ambavyo ni Mlingano, Muungano na Kibaoni. Na kijiji kimoja cha Upare ambacho kipo Kata ya Pande Darajani. Vijiji hivi vinakadiriwa kuwa na idadi ya watu wapatao 6,924 kutokana na sensa ya makazi ya mwaka 2012. Thamani ya Mradi huo ni Tshs. 1,594,235,046.00

Kazi zilizofanyika hadi sasa

  • Ujenzi wa Tank la juu ya Ardhi lenye ujazo wa lita 45,000.
  • Ujenzi wa mnara wa mita 10 kwa ajili ya kubeba tank la lita 90,000.
  • Ujenzi wa vituo 23 vya kuchotea maji.
  • Uchimbaji mtaro na ulazaji mabomba umbali wa kilomita 21
  • Ujenzi wa chanzo
  • Uvutaji wa umeme Tanesco kwa njia tatu
  • Ujenzi mfumo wa uvunaji wa maji ya mvua katika Shule ya msingi Kibaranga na kuweka tank la plastiki 1 la lita 3,000., Tank la ferro cement lenye ujazo wa lita 5,000 na water jar lenye ujazo wa lita 1,000.

Mradi huu unaendelea.

2. Mradi wa maji Kivindo

Mradi huu unatekelezwa kwa gharama yanTsh. 439,262,864.70 pamoja na VAT.

Mradi huu ukikamilika utahudumia watu wapatao 1,460 kutoka katika kijiji cha Kivindo.

Kazi zilizofanyika hadi sasa kwa Mradi huu ni kama ifuatavyo:-

  • Uchimbaji wa Mitaro kutoka kwenye Visima hadi kwenye tank pamoja na mitaro ya usambaji maji na kulaza bomba katika njia kuu na ulazaji wa bomba katika Vitongoji vitatu.
  • Ujenzi wa tank la lita 45,000 kwenye mnara wa mita 6.
  • Ufungaji wa Submersible pampu mbili 2 kwenye visima virefu viwili.
  • Ujenzi wa vituo 12 vya kuchotea Maji.
  • Ujenzi wa Mbauti (Cattle Trough).
  • Kuvuta umeme wa njia tatu hadi katika nyumba ya Mitambo.
  • Ujenzi wa nyumba ya Mitambo.
  • Kujenga miundombinu ya uvunaji wa Maji ya Mvua katika taasisi za serikali .

Tangazo

  • WANAOITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA KAZI ZA AFYA October 12, 2024
  • MATOKEA YA NAFASI ZA UDEREVA October 10, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • MICHAEL MSECHU AONGOZA WANANCHI WA MUHEZA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

    February 19, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.