• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

Fedha na Biashara

UTANGULIZI

Idara ya fedha ni miongoni mwa idara zilizopo katika halmashauri ya wilaya ya Muheza, idara inatelekeza majukumu yafuatayo katika utendaji kazi  katika wilaya ya Muheza.

  • Kuishauri halmashauri kuhusiana na masuala yote ya fedha.
  • Kuandaa Bajeti ya mapato na matumizi ya mwaka mzima kwa kushirikiana na afisa mipango (w)  na wakuu wengine wa Idara.
  • Kuhakikisha uwepo wa mfumo mzuri wa kihasibu  na utunzwaji salama wa kumbukumbu za fedha.
  • Kuandaa taarifa za fedha ambazo zitaonyesha Makusanyo na matumizi halisi ukilinganisha na makisio ya Makusanyo na matumizi yaliyotengwa
  • Kuandaa tarifa ya baraza na  hesabu za Halmashauri.
  • Kuhakikisha usimamizi wa ndani wa fedha ni imara na unafanya kazi kulingana na taratibu na miongozo ya fedha.
  • Kuwasilisha taarifa na taratibu za kifedha katika kamati ya fedha kwa ajili ya kupata idhini  na kuzigawanya  kwa wakuu wengine wa idara.
  • Kutunza  Mali zote za Halmashauri pamoja  na mambo yote yanayohusiana na  fedha  za Halmashauri ukiwemo usimamizi na mpangilio  bora  wa watumishi katika  utendaji kazi ndani ya idara ya fedha.

 

HALI YA WATUMISHI

  • Idara ya Fedha ina jumla ya wafanyakazi  13, kati ya hao 4 ni Wasaidizi wa hesabu, 2 ni maafisa Biashara 7 ni Wahasibu.

Tangazo

  • ORODHA YA WASIMAMIZI WASAIDIZI NA MAKARANI WA VITUO VYA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2020 October 21, 2020
  • IDADI YA WANAFUNZI WALIOFAULU DARASA LA SABA MWAKA 2020 November 26, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 KWA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MUHEZA.(JOINING INSTRUCTION FORM_2021_MUHEZA DC) December 18, 2020
  • Matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2017 January 31, 2018
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • ZAIDI YA VYETI 400 VYATOLEWA KWA WADAU WA MAENDELEO MUHEZA

    December 04, 2020
  • JAMII YATAKIWA KUSHIRIKIANA KUPIGA VITA VITENDO HATARISHI VINAVYOPEKEA KUPATA UKIMWI

    December 02, 2020
  • MILIONI 111 ZAKOPESHWA HALMASHAURI YA WILAYA MUHEZA

    November 27, 2020
  • DC MUHEZA AONYA VITENDO VYA UWEKEZAJI MAZAO MACHANGA

    November 19, 2020
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2641416

    Simu ya Mkononi: 0755415152

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.