• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA NA HAYATI DKT JOHN POMBE MAGUFULI

Sunday 18th, April 2021
@UWANJA WA JITEGEMEE


Ibada maalum ya kuliombea Taifa na Hayati DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI itafanyika kesho ijumaa tarehe 26/3/2021 kuanzia saa 1:30 asubuhikatika Uwanja wa Jitegemee uliopo katika kitongoji cha Tanganyika kata ya Tanganyika Muheza mjini.

Katika ibada hiyo kutakuwa na Dua, Sala itakayoongozwa na  Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini yaliyopo Wilayani Muheza  pamoja na nyimbo za maombolezo zitakazoimbwa na vikundi mbalimbali vya sanaa.

Kadhalika kutakuwa na wimbo wa halaiki utakaongozwa na wanafunzi 200 na walimu 14 wa shule 8 za Msingi zilizopo wilayani humo.

Pia kutakuwa na zoezi la kusaini kitabu cha kumbukumbu kitakachowahusisha watu wote watakaoshiriki katika maombi hayo.

Aidha kutakuwa na Runinga (TV screen)  itakayotumika mara baada ya shughuli za maombi kuisha itakayoonyesha MUBASHARA (LIVE)tukio la mazishi ya MPENDWA WETU aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati DKT JOHN POMBE MAGUFULI  nyumbani kwao CHATO.

                       “ Pumzika kwa Amani shujaa wa Afrika”

Bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

Tangazo

  • ORODHA YA WASIMAMIZI WASAIDIZI NA MAKARANI WA VITUO VYA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2020 October 21, 2020
  • IDADI YA WANAFUNZI WALIOFAULU DARASA LA SABA MWAKA 2020 November 26, 2020
  • FOMU ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 KWA SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA MUHEZA.(JOINING INSTRUCTION FORM_2021_MUHEZA DC) December 18, 2020
  • Matokeo ya kidato cha nne kwa mwaka 2017 January 31, 2018
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • WANANCHI WILAYANI MUHEZA WAKUSANYIKA KUMUOMBEA HAYATI DKT JOHN MAGUFULI

    March 27, 2021
  • JAMII YATAKIWA KUEPUKANA NA DHANA POTOFU YA UMEZAJI DAWA

    March 26, 2021
  • WATANZANIA WATAKIWA KUMUENZI HAYATI MAGUFULI KWA KUFANYA KAZI KWA BIDII

    March 20, 2021
  • WANAWAKE MUHEZA WASAIDIA TAULO ZA KIKE NA SARUJI SHULENI

    March 08, 2021
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2641416

    Simu ya Mkononi: 0755415152

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.