Waziri wa Ardhi, Nyumba na maendeleo ya Makazi, Mhe. William Lukuvi anategemea kutembelea Wilaya ya Muheza hivi karibuni kusikiliza malalamiko ya Wananchi kuhusiana na Ardhi (Viwanja na Mashamba)
Wananchi wenye malalamiko mnatakiwa kuja kuchukua fomu ya malalamiko (Fomu ya funguka kwa Waziri) kwa mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, Ofisi ya Ardhi.
Pakua Hapa kupata Fomu ya Funguka kwa Waziri.pdf
Tangazo hili limetolewa na ;-
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
MUHEZA.
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.