• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

TANGAZO LA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MAALUM – MUHEZA

28 May 2021

Mei 28, 2021 - Muheza

Mkuu wa Wilaya wa Muheza anawatangazia wananchi wote wa Wilaya ya Muheza kuwa Mbio za Mwenge wa Uhuru Maalum kwa 2021 utakimbizwa siku ya Jumapili, tarehe 30 Mei, 2021.

Mwenge wa Uhuru Maalum utapokelewa kutoka katika wilaya ya Pangani katika Kijiji cha Mkuzi kata yaMkuzi na kupitia miradi ifuatayo:

  • Kukagua Mradi Wa Umeme Wa REA - Kigongomawe uliopo katika Kitongoji cha kwa Antony Katika Kijiji cha Kigongomawe Kata ya Ngomeni
  • Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji -  Umba Katika Kijiji cha Umba
  • Kukagua Shughuli za Uzalishaji Mali wa Kikundi  cha Vijana  cha  Jadili Kwanza Wanaochakata Zao la Mkonge katika Kijiji cha Umba
  • Kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Zahanati-Kijiji cha Kwakopwe
  • Kukagua Uendelevu wa Ujenzi wa Barabara ya Masuguru - Tingeni Kata ya Masuguru
  • Kukagua wa Uendelevu wa Ujenzi wa Mabweni ya Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum katika Kitongoji cha Mbaramo Kata ya Mbaramo
  • Kukagua Shughuli za Kudhibiti Malaria katika Kituo cha Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu NIMR na kupokea Taarifa ya Shughuli zinazoekelezwa na Halmashauri Katika Uboreshaji wa Lishe na Mambo Mengine katika Sekta ya Afya katika Kitongoji cha Mbaramo - Kata ya Mbaramo
  • Kuweka Jiwe la Msingi Jengo la Ofisi ya Udhibiti Ubora wa Elimu katika Mtaa wa Genge – Bomani
  • Kukagua  Shughuli za Tehama ndani ya Wilaya ya Muheza  Mtaa wa Majengo Shimoni
  • Kukagua Shughuli za Udhibiti wa Matumizi ya  Madawa ya Kulevya Kitongoji cha Genge Kata ya Genge
  • Kukagua Ujenzi wa Barabara ya Kilimanjaro Kwasemkiwa inayojengwa kwa Kiwango cha Lami katika Kitongoji cha Masuguru.

Mkesha wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Maalum Utafanyika katika Uwanja wa Jitegemee Wilayani Muheza.

Kauli Mbiu ya Mbio za Mwenge wa Uhuru Maalum kwa 2021 ni “Tehama ni Msingi wa Taifa Endelevu. Itumie kwa Usahihi na Uwajibikaji”.

Wote Mnakaribishwa.

Imetolewa na Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano,

Halmashauri ya Wilaya ya Muheza.

Tangazo

  • TANGAZO LAKUITWA KWENYE USAILI January 14, 2026
  • TANGAZO LA KAZI January 09, 2026
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI MBALIMBALI ZA UCHAGUZI October 06, 2025
  • MAREKEBISHO YA TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO October 23, 2025
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • “KUKOSA SARE ZA SHULE KISIWE KISINGIZIO CHAKUTOKURIPOTI SHULENI”

    January 14, 2026
  • MUHEZA YATEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU

    November 21, 2025
  • MAFUNZO YA UANDAAJI NA UTEKELEZAJI WA MIPANGO NA BAJETI

    November 21, 2025
  • LISHE ALAMA ZA KIJANI MUHEZA

    November 12, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.