• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

WANANCHI WILAYANI MUHEZA WAKUSANYIKA KUMUOMBEA HAYATI DKT JOHN MAGUFULI

Posted on: March 27th, 2021


Wananchi wa Wilaya Muheza wakishirikiana na kamatiya AMANI ya wilaya hiyo leo tarehe 26/3/2021 katika Uwanja wa Jitegemee wamekutana  kuliombea  aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati DKT JOHN POMBE MAGUFULI ili mwenyezi mungu aipumzishe roho yake vyema.

Katika maombi yao walieleza namna rais Magufuli alivyokuwa akipambana kuhakikisha fedha za wananchi zinazokusanywa zinawaletea maendeleao kwa kuwajengea madaraja, miradi ya maji, hospitali ,barabara kwani aliamini ipo siku ataulizwa amewafanyia nini wananchi.

Waliendelea kuwa Mhe Magufuli alkuwa ni mtatuzi wa migogoro yaa ardhi ambapo kwa Halmashauri ya Wilaya Muheza Mnamo mwaka 2016 aliweza kuyafutia hati mashamba 6 ya Mkonge na kutaka yagawiwe kwa wananchi wanyonge, wananchi masikini.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya Mhe. Mwanasha Tumbo amewasihi wananchi kushikamana bila ubaguzi wa dini kabila, rangi , tofutti za kisiasa ili kuweza kulinda amani na utulivu tuliyojaliwa katika nchi yetu.

Mkuu huyo wa Wilaya amewataka wananchi kuendelea kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili aweze kusimama imara wakati akitekeleza majukumu yake bila kuyumbishwa na mtu yeyote Yule.

Nae Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ambaye ni Diwani kata ya Masuguru MOHAMMED BAGHOZAH amesema chama cha mapinduzi kimemuamini Mama Samia kwa kuwa ni mchapakazi na shupavu hivyo wananchi waendelee kumuamini atafanya maendeleo kwa kufuata nyendo za hayati MAGUFULI.

Nao viongozi wa dini wamesema tuendelee kumuombea hayati MAGUFULI kwa mema aliyofanya na tumuunge mkono mama Samia aweze kuongoza vyema.




















Tangazo

  • WANAOITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA KAZI ZA AFYA October 12, 2024
  • MATOKEA YA NAFASI ZA UDEREVA October 10, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • MICHAEL MSECHU AONGOZA WANANCHI WA MUHEZA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

    February 19, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.