Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwanafunzi wa Kidato cha Pili Mwenye Umri wa Miaka 16 wa Shule ya Sekondari Magila Ester George Barua ambaye alimpitisha kwenye kiti chake cha Rais baada ya kuelezea mafanikio ya Serikali awamu ya Sita kwa lugha ya Kingereza hali ya kuwa anasoma Shule ya Serikali ya Kata ya Magila kwenye Mkutano wa Hadhara uliofanyiaka Februari 27, 2025
Tukio hilo lilimfurahisha sana Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa Mwanafunzi wa Kidato cha Pili anaesoma Shule ya Kata kueleza mafanikio yaliyofanywa na Serikali ya awamu ya Sita kwa lugha ya Kingereza.
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.