8.0 TAARIFA YA MRADI WA UJENZI WA VYUMBA NNE VYA MADARASA NA MATUNDU KUMI YA VYOO SHULE YA MSINGI KIBANDA
8.1 UTANGULIZI
Ndugu,
Shule ya msingi Kibanda ipo Kata ya Kilulu, tarafa ya Muheza, shule hii ina jumla ya wanafunzi 409 kati yao wavulana 206 na wasichana 203. Shule ina jumla ya walimu 10 kati yao me 2 na ke 8.
Shule hii iliingiziwa fedha za mradi wa madarasa manne (4) na matundu kumi (10) ya vyoo vyenye thamani ya jumla ya Sh. 73930905/= kutoka Serikali kuu kupitia mradi wa BOOST kwa ajili ya miradi yote miwili, madarasa manne (4) kwa gharama sh, 52,000,000/= na matundu kumi (10) ya vyoo kwa gharama ya sh 21,000,000/=na ufuatiliaji sh 930905/= Ujenzi huu ulianza rasmi mnamo tarehe 20/10/2025 kwa mkataba wa miezi 3, kuanzia tarehe 29/08/2025 hadi tarehe 29/11/2025..
8.2 HALI YA MRADI
Hali ya miradi yote miwili yaani mradi wa vyumba vinne(4) vya madarasa na matundu Kumi (10) ya vyoo ni kama ifuatavyo;-
Mradi wa vyumba vinne (4) vya madarasa
Mradi huu uko kwenye hatua ya kufanya marekebisho ya mbao za darasani za kuandikia na koplo za baadhi ya madirisha,na kupaka rangi .
Mradi wa matundu kumi(10) ya vyoo
Mradi huu uko kwenye hatua ya kuweka dali kwa nje,kuskimu,kuchapia fremu za milango,na kufanya usafi chooni.
8.3 GHARAMA ZA MRADI
Gharama ya miradi hii miwili ni kama ifuatavyo;-
Vyumba vinne (4) vya madarasa na matundu kumi (10) ya vyoo
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.