Na. |
JINA LA MRADI |
TAREHE YA KUANZA MRADI |
TAREHE YA KUKAMILIKA |
MKANDARASI |
CHANZO CHA FEDHA |
HALI YA MRADI MPAKA SASA |
1 | Ujenzi wa zahanati ya Kwakope
|
2013
|
2018
|
Mafundi wa kawaida (Local Contractors)
|
Mfuko wa jimbo/nguvu za wananchi.
|
Jengo la OPD limefikia hatua ya jamvi.
|
2 | Mgambo misalai
|
2017
|
2018
|
Mafundi wa kawaida (Local Contractors)
|
Mfuko wa jimbo,wadau mbalimbali wa maendeleo ya Afya na nguvu za wananchi.
|
Jengo la wodi ya wazazi lipo hatua ya msingi.
|
3 | Zahanati ya Mtiti
|
2014
|
2018
|
Mafundi wa kawaida (Local Contractors)
|
Nguvu za wananchi,mfuko wa jimbo,halmashauri na wadau mbalimbali.
|
Ujenzi wa jengo la zahanati umekamilika bado milango,madirisha ,rangi na tiles.
|
4 | Zahanati ya Kilongo
|
2015
|
2018
|
Mafundi wa kawaida (Local Contractors)
|
Halmashauri,nguvu za wananchi
|
Jengo la OPD limefikia hatua ya msingi.
|
5 | Zahanati ya Makole
|
2017
|
2019
|
Mafundi wa kawaida (Local Contractors)
|
Nguvu za wananchi na mfuko wa jimbo.
|
Jengo la OPD lipo katika hatua ya uchimbaji wa msingi
|
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.