• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Muheza District Council
Muheza District Council

Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Mipango na Takwimu
      • Afya
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Fedha na Biashara
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Ujenzi
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • TEHAMA
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Viwanda
    • Kilimo
    • Utalii
    • Uvuvi
    • Sekta ya Huduma
    • Ardhi iliyotengwa Kwaajili ya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma ya AFYA
    • Kilimo
    • Elimu
    • Ardhi
    • TEHAMA
      • Huduma
      • Mifumo
        • PLANREP
        • FFARS
        • PREM
        • Salary Slip Portal
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Uchumi Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti Ukimwi
    • Ratiba
      • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taarifa
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba za Viongozi
    • Maktaba ya Picha

BARAZA LA MADIWANI LAPITISHA BAJETI YA SHILINGI BILIONI 41.2

Posted on: January 31st, 2022


Baraza la Madiwani la Halmashauriya Wilaya ya Muheza limepitisha bajeti ya Shilingi bilioni 41.2 ambayo itatekelezwa katika kipindi cha Mwaka wa fedha 2022/2023.

Akiwasilisha bajeti hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza Nassib Mmbagga amesema kuwa kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 9.67 ni fedha za Miradi ya Maendeleo ikiwa Shilingi Bilioni 28.09 ni ruzuku ya  Malipo ya Mishahara hivyo basi  Ruzuku ya Matumizi kutoka Serikali kuu ni Shilingi Bilioni 38.70.

Aidha Mkurugenzi Nassib Mmbagga amesema kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza imejipanga kukusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 2.54 kutoka kwenye Mapato yake ya ndani   ambazo ni sawa na ongezeko la Shilingi Bilioni 4.67 la bajeti inayoishia Mwaka huu wa fedha 2021/2022.

Mmbagga aliendelea kufafanua kuwa Halmashauri inatarajia kupokea Shilingi Bilioni 38.70 ambayo ni Ruzuku ya Malipo ya Mishahara kutoka Serikali kuu ikiwa kiasi hicho ni sawa na ongezeko la Shilingi Bilioni 15.6 ukilinganisha na bajeti ya Mishahara inayaoishia Mwaka huu wa fedha 2021/2022 ambayo ni Shilingi Bilioni 23.04.

Akielezea utekelezaji wa Makusanyo amesema mpaka sasa Halmashauri imefikia asilimia 61 ya makusanyo katika vyanzo vyake vya mapato ya ndani.

Awali akisoma mapendekezo ya mpango na bajeti wa Halamshauri kwa Mwaka wa Fedha 2021/2022 afisa  Mipango wa Wilaya hiyo Pascal Temba amesema katika kipindi cha Mwezi Julai hadi Disemba 2021 Halmashauri ya Muheza ilikisia kupokea Ruzuku, na Makusanyo ya Mapato yake ya ndani  Shilingi Bilioni 36.57 ambapo hadi kufikia disemba 2021 kiasi cha shilingi Blioni 17.40 kilikusanywa ambayo ni sawa na asilimia 48 ya Makusanyo.




Tangazo

  • WANAOITWA KWENYE USAILI NAFASI ZA KAZI ZA AFYA October 12, 2024
  • MATOKEA YA NAFASI ZA UDEREVA October 10, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATENDAJI VIJIJI, MADEREVA NA MWANDISHI MWENDESHA OFISI October 25, 2024
  • Angalia Vyote

Habari mpya

  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • RAIS SAMIA AKOSWA NA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI MAGILA AMRUHUSU AKAE KWENYE KITI CHAKE CHA RAIS

    February 28, 2025
  • MICHAEL MSECHU AONGOZA WANANCHI WA MUHEZA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

    February 19, 2025
  • Angalia Vyote

Video

Mhe. Samia Suluhu Hassan Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano waTanzania akizindua uchangiaji wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Muheza.
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Sheria Ndogo za Halmashauri
  • Ratiba ya vikao vya kisheria
  • Video za Matukio Mbalimbali
  • Huduma za Afya zinazopatikana
  • Mpango Kazi wa Halmashauri
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani na Taarifa za Kata
  • Mawasiliano ya Walimu wakuu wa Shule za Msingi na sekondari

Viunganishi linganifu

  • Ikulu
  • Mbinu mbalimbali za kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi , Milma ya Usambara Mashariki, Muheza.
  • Utumishi
  • Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Idara kuu ya Takwimu(NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Muheza Mjini, Bomani

    Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA

    Simu: 027-2977545

    Simu ya Mkononi: 0746525653

    Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.