Thursday 21st, November 2024
@LUSANGA
Waziri wa TAMISEMI Selemani Jaffo atafanya Ziara ya kikazi kesho tarehe 7/7/2020 Wilayani Muheza ambapo ofisi ya Mkuu wa Wilaya, wakuu wa Idara, waandishi wa habari na wananchi wanatakiwa kushiriki katika ziara hiyo.
Lengo la Ziara yake ni kutembelea Mradi wa Hospitali ya Wilaya Muheza uliopo katika Kijiji cha Tanganyika kata ya Lusanga ili kuona Hatua iliofikiwa katika mradi huo ambao Serikali ya awamu ya tano inayoongfozwa na Rais DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 1.5 kwa ajili ya kujenga majengo 7 ya Hospitali hiyo.
NJOO UONGEE NA WAZIRI
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.