Mkuu wa Wilaya ya Muheza Mhandisi Mwanasha Tumbo kwa Heshima na Taadhima anawaomba watu wote kuchangia ujenzi wa Hospitalli ya Wilaya Muheza. Unaweza kuchangia kupitia namba 395533 kwa Tigo Pesa na Mpesa ikiwa kumbukumbu namba ni 123 au kwa akaunti namba 41903300020 NMB jina la akaunti kijiji cha Lusanga A.
JINSI YA KUCHANGIA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MUHEZA KWA KUTUMIA MITANDAO YA SIMU.
M-PESA nenda menu *150*00#
TIGO PESA nenda menu *150*01#
Kwa mitandao ya ;
AIRTEL,ZANTEL,TTCL&HALOTEL namba ya kampuni ni 395544
Muheza Mjini, Bomani
Anwani ya posta: S.L.P 20 MUHEZA
Simu: 027-2977545
Simu ya Mkononi: 0746525653
Barua Pepe: ded@muhezadc.go.tz
Copyright ©2018 Muheza District Council . All rights reserved.